Habari Mpya

Thursday, 31 October 2013

KWA AJIRI YAKO WEWE

  Watu wengi wanaamini kula milo miwili kwa siku ndo kunasaidia kupunguza unene,

Hapana sivyo,
ni bora kula milo minne midogo kwa awamu kuliko kula milo miwili mikubwa kwa siku mara mbili.

unachotakiwa kuzingatia hakikisha chakula unachokula si kama kawaida ulivyozoea nikimaanisha punguza mlo wako.

pili zingatia mazoezi mara kwa mara. 
endelea kufuatilia utajua njia nyingine mbadala na zikakusaidia kuondokana kabisa na unene uliopitiliza.

see ya!
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

2 comments:

Item Reviewed: KWA AJIRI YAKO WEWE Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top