Habari Mpya

Sunday, 27 October 2013

Tangu 1995-2013


                                  MISS TANZANIA    



















































tangu 1995 hadi 2013 hawa ndio warembo waliokwisha shika taji la miss Tanzania, hakika kila mmoja amefanya yake kwa wakati wake, na hatimae kazi ya urembo imekua ikisaidia wasichana wengi kupata muelekeo wa maisha mara tu baada ya kukamata Taji hilo.Hongera sana mh lundenga na jopo zima linalosaidia kuibua warembo kila mwaka ambapo mwaka 2013 ni HAPPINESS ,fashion time imeona mchango mkubwa unaoutoa. kwa picha zao watambue warembo hawa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Tangu 1995-2013 Description: Rating: 5 Reviewed By: Tatyana Celestine
Scroll to Top