high heels ni nzuri na zinapendeza sana mwanadada akiwa amevaa lakini tukumbuke endapo utavaa kwa muda mrefu unahatihati ya kupata madhara kama haya hapa chini.
![]() |
kunavaa viatu virefu vinapelekea mishipa ya damu miguuni hasa sehemu za vidole kubadili mueekeo na kuleta madhara ya kupinda vidole. |
0 comments:
Post a Comment